Kila la Kheri mnyama huko Kitwe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Dec 2018
Kila la Kheri mnyama huko Kitwe
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba leo Jumamosi saa kumi kamili jioni wanashuka katika dimba la Nkana kuwakabili wenyeji wao Nkana Red Devils kwenye mchezo wa duru ya kwanza ligi ya mabingwa

Kikosi cha Simba kimekuwa nchini Zambia kwa takribani siku mbili kikijiandaa na mchezo huo ambao utatoa mwanga wa kutinga hatua ya makundi ya michuano hiyo.

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo utakaopigwa katika dimba la Nkana linalochukua mashabiki takribani 10,000

Amesema lengo la Simba ni kuhakikisha wanapata matokeo mazuri watakayorudi nayo jijini Dar es salaam kabla ya mchezo wa marudiano utakaopigwa wiki ijayo.

Ushindi au hata matokeo ya sare ya mabao yatakuwa na faida kwa mabingwa hao wa Tanzania Bara.

Dua za mashabiki na Watanzania wazalendo zimeelekezwa huko Zambia kwa klabu ya Simba ili iweze kushinda mchezo huo

KILA LA KHERI MNYAMA, KILA LA KHERI WEKUNDU WA MSIMBAZI, KILA LA KHERI MABINGWA WA NCHI.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’