Simba yajifua uwanja wa Nkana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Dec 2018
Simba yajifua uwanja wa Nkana
Kikosi cha Simba leo jioni kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Nkana tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Nkana Fc utakaopigwa katika dimba hilo



Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema kikosi cha timu hiyo kiko kamili, hakuna majeruhi.

Manara amesema ari ya wachezaji iko juu na wana matumaini makubwa ya kupata matokeo mazuri kwenye mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa kumi jioni kwa saa za hapa Tanzania.





Manara amewataka Watanzania kuiombea Simba ili iweze kupata matokeo mazuri kwenye mchezo wa kesho ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya makundi.



Wakati huo huo Manara amesema baada ya msafara wa mashabiki wa Simba kupata ajali nchini Zambia, uongozi wa timu hiyo ulifanya utaratibu wa kupata usafiri mwingine ambao utawafikisha mashabiki hao katika mji wa Kitwe ili kuweza kuipa sapoti timu hapo kesho
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’