Basi la klabu ya Simba lililobeba mashabiki kuelekea nchini Zambia kuipa sapoti timu kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Nkana Fc, limepata ajali.
Ajali hiyo imetokea Kapiri Mposhi ambapo basi hilo limegongana Lori wakati likielekea katika mji wa Ndola.
Hata hivyo ni jambo la kushukuru kuwa ajali hiyo haikusababisha madhara makubwa ambapo watu kadhaa wamepata michubuko ya kawaida

ADVERTISE HERE