Hotel iliyofikia klabu ya Simba Zambia

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Dec 2018
Hotel iliyofikia klabu ya Simba Zambia
Kikosi cha Simba kimefikia katika hoteli ya The Milford Lodge iliyopo hapa Kitwe Zambia tangu jana Alhamisi.

Hoteli hiyo ambayo kwa siku gharama yake ni Dola 100 kwa chumba kimoja ipo mahala kwenye utulivu na ukimya wa hali ya juu.

Wachezaji wa Simba muda mwingi wamekuwa nadra kuonekana wakikatiza katika viunga vya hoteli hiyo.

Muda mwingi wachezaji wote walionekana kujifungia vyumbani mwao huku umakini na utulivu ukiwa mkubwa.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’