Kiungo wa Mbabane atajwa kutua Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
14 Dec 2018
Kiungo wa Mbabane atajwa kutua Simba
Uongozi wa Mbabane Swallows umethibitisha kuwa Simba imewasiliana nao ikitaka kumsajili kiungo tegemo wa timu hiyo Njabulo Ndlo­vu ‘D4D’ .

Simba ilikutana na Mbabane Swallows katika michezo miwili ya hatua ya awali ya michuano ya ligi ya mabingwa na kuibuka na ushindi wa jumla wa mabao 8-1.

Ndlo­vu alikuwa miongoni mwa wachezaji waliofanya vizuri katika kikosi cha Mbabane

Kiungo huyo mkabaji anawaniwa na Simba ili kuimarisha nafasi hiyo ambayo anategemewa zaidi Jonas Mkude na mara chache James Kotei

Juzi Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems alidokeza kuwa watakamilisha usajili wa mchezaji mmoja kabla ya dirisha kufungwa hapo kesho.

Huenda mchezaji huyo akawa Ndlovu
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE →
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE →
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE →
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →