Uongozi wa Mbabane Swallows umethibitisha kuwa Simba imewasiliana nao ikitaka kumsajili kiungo tegemo wa timu hiyo Njabulo Ndlovu ‘D4D’ .
Simba ilikutana na Mbabane Swallows katika michezo miwili ya hatua ya awali ya michuano ya ligi ya mabingwa na kuibuka na ushindi wa jumla wa mabao 8-1.
Ndlovu alikuwa miongoni mwa wachezaji waliofanya vizuri katika kikosi cha Mbabane
Kiungo huyo mkabaji anawaniwa na Simba ili kuimarisha nafasi hiyo ambayo anategemewa zaidi Jonas Mkude na mara chache James Kotei
Juzi Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems alidokeza kuwa watakamilisha usajili wa mchezaji mmoja kabla ya dirisha kufungwa hapo kesho.
Huenda mchezaji huyo akawa Ndlovu

ADVERTISE HERE