Mohammed Rashid ametua kwa mkopo wa miezi sita klabu ya KMC ili kulinda kiwango chake baada ya kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza ya Simba
Rashid alisajiliwa na Simba mwanzoni mwa msimu huu baada ya kun'gara kunako klabu ya Tanzania Prisons
Baada ya kutua KMC, Rashid amepania kurejesha makali yake ili kumshawishi kocha wa Simba Patrick Aussems ili aweze kumrejesha msimu ujao
"Muda sahihi wa kuweza kukuza na kuonyesha kipaji changu ni sasa, nina imani ya kufanya vizuri hapa nilipo na mashabiki watafurahi wenyewe.
"Kikubwa ni kuwa na nia na kujituma, hakuna namna nyingine miongoni mwa vitu ambavyo havijifichi ni mpira, hivyo nitafanya juhudi kwa kushirikiana na wenzangu ili kuwa bora zaidi," amesema Rashid.

ADVERTISE HERE