Kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi kwa mara ya kwanza nchini Zambia kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Nkana Fc.

Simba iliwasili nchini Zambia leo Jumatano mchana tayari kwa mchezo huo utakaopigwa kwenye dimba la Nkana, mjini Kitwe siku ya Jumamosi, Disemba 15 2018.

ADVERTISE HERE