Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kimewsili salama jiji la Kitwe nchini Zambia tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa raundi ya kwanza dhidi ya Nkana Fc.
Mchezo huo utapigwa Jumamosi ijayo, Disemba 15 2018
Mfasara wa wachezaji wa Simba ukiwa sambamba na viongozi wa timu hiyo uliondoka Alfajiri ya leo Jumatano kuelekea nchini humo

ADVERTISE HERE