Mashabiki kwenda Zambia kwa basi kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Dec 2018
Mashabiki kwenda Zambia kwa basi kesho
Uongozi wa Simba umesema kwamba mashabiki wa klabu hiyo wanatarajia kuondoka kesho Alhamisi kwenda nchini Zambia ili kuipa sapoti timu yao inayocheza Jumamosi dhidi ya Nkana.

Mashabiki hao wa Simba wanatarajiwa kusafiri kwa basi la klabu ya Simba kupitia Tunduma jijini Mbeya na wanatarajia kuwasili keshokutwa Ijumaa.

Tayari kikosi cha Simba imeshatangulia nchini Zambia ambapo, taarifa ya klabu ilieleza kwamba Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Francis Ndulane ndiye ameongozana na klabu hiyo.

Jumla ya wachezaji 20 benchi la ufundi sita, wakiongozwa na Kocha Mkuu, Patrick Assems pamoja na viongozi wengine watatu pia wamesafiri.

Simba ilifuzu kuendelea hayua inayofuata baada ya kuiondoa Mbabane Swallows kwa jumla ya mabao 8-1 jambo ambalo limefufua matumaini kwa timu hiyo kufika mbali zaidi kwenye mashindano haya.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’