Simba yaenda Zambia kibabe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Dec 2018
Simba yaenda Zambia kibabe
Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimeondoka Alfajiri ya leo Jumatano Disemba 12 kuelekea Zambia kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa raundi ya kwanza dhidi ya Nkana Fc.

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Disemba 15 2018 huko Kitwe Zambia.







Hiki hapa kikosi kilichosafiri

Magolikipa

1. Aishi Manula
2. Deo Munishi Dida

Mabeki

3. Nicholas Gyan
4. Mohamed Hussein
5. Erasto Nyoni
6. Pascal Wawa
7. Juuko Murshid

Viungo

8. Jonas Mkude
9. James Kotei
10. Hassan Dilunga
11. Clatous Chama
12. Said Ndemla
13. Mzamiru Yassin
14. Haruna Niyonzima
15. Rashid Juma
16. Shiza Kichuya

Washambuliaji

17. John Bocco
18. Emmanuel Okwi
19. Adam Salamba
20. Meddie Kagere
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’