Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kinatarajiwa kuondoka kesho Alfajiri kuelekea nchini Zambia kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa raundi ya kwanza dhidi ya Nkana Fc
Msafara utakao-ondoka kesho utaongozwa na Mjumbe wa Kamati ya utendaji ya TFF, Francis Ndulane.
Msafara utakao-ondoka kesho utaongozwa na Mjumbe wa Kamati ya utendaji ya TFF, Francis Ndulane.
ADVERTISE HERE