Idadi kubwa ya mashabiki wamejitokeza kuitumia nafasi iliyotolewa na uongozi wa Simba kwa mashabiki wake wanaotaka kusafiri kwenda Zambia kuwaunga mkono mabingwa hao wa Tanzania Bara kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa raundi ya kwanza dhidi ya Nkana FC.
Uongozi wa Simba umesema kuwa leo ni siku ya mwisho kwa mashabiki kujiandikisha ambapo kwa wale ambao wangependa kutumia fursa hiyo wawasiliane na Msaidizi wa Msemaji wa Simba, Jacob Gamaly kupitia namba za simu 0659929420 na 0766051826
Msafara wa kwanza unatarajiwa kuondoka kesho Jumatano kuelekea nchini Zambia huku msafara wa pili ukiondoka keshokutwa Alhamisi Alfajiri
Mchezo dhidi ya Nkana utapigwa Kitwe Zambia, Jumamosi Disemba 15 2018

ADVERTISE HERE