Simba kusajili kifaa kingine kabla ya dirisha la usajili kufungwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Dec 2018
Simba kusajili kifaa kingine kabla ya dirisha la usajili kufungwa
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema timu hiyo itasajili mchezaji mwingine kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Jumamosi, Disemba 15 2018

Aussems amesema uongozi wa Simba uko mbioni kukamilisha usajili wa mchezaji huyo ambaye hata hivyo hakutaka kuweka wazi jina lake wala nafasi anayocheza

"Viongozi watakamilisha usajili wa mchezaji mwingine kabla ya Disemba 15. Ndani ya saa 48 nadhani kila kitu kitakuwa sawa na taarifa kamili itatolewa," alisema Aussems

Simba tayari imekamilisha usajili wa mlinzi wa kulia Zana Coulibaly aliyetua hivi karibuni kuziba pengo la Shomari Kapombe anayeendelea na matibabu Afrika Kusini baada ya kupata majeraha makubwa ambayo yanaweza kumuweka nje kwa muda mrefu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’