Simba yatanguliza 'mashushushu' Zambia

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Dec 2018
Simba yatanguliza 'mashushushu' Zambia
Kikosi cha Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba kinatarajiwa kuondoka Jumatano kwa mafungu kuelekea nchini Zambia tayari kuwakabili wapinzani wao Nkana FC katika mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa.

Mchezo wa hatua ya kwanza Simba itakuwa ugenini akicheza na Nkana siku ya jumamosi na marudio yanatarajiwa kuwa Desemba 23 au 24 Dar es Salaam katika uwanja wa Taifa huku taarifa zikieleza kuwa tayari makachero wa Simba wametia timu Zambia.

Katibu wa Simba Dr. Anorld Kashembe amesema maandalizi yapo sawa na wanatarajia kuondoka kimafungu kwa kuwa kuna wengine ambao wametangulia kuweka mipango sawa huku wengine wakifuata kuungana nao baadaye.

"Mpaka sasa tumeshatambua kuwa aina ya timu tunayokwenda kucheza nayo ni ngumu hivyo tumedhamiria kupata matokeo mazuri, kwa kuanza safari yetu tunajigawa makundi kuweza kufika Zambia kwa kuwa hatuwezi kwenda wote kwa wakati mmoja.

"Taratibu zote zipo sawa na uhakika wa kufanya vizuri ni mkubwa ndiyo maana kuna watu ambao wametangulia kuanza kufanya maandalizi kwa ajili ya timu yetu, kuhusu kuondoka kwa wachezaji na viongozi utaratibu utakuwa wazi," alisema.

SalehJembe
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’