Aussems agoma kuuza wachezaji Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Dec 2018
Aussems agoma kuuza wachezaji Simba
Hivi karibuni zimeripotiwa taarifa kuwa baadhi ya wachezaji waandamizi wa kikosi cha Simba wanawaniwa kusajiliwa na timu nyingine.

Emmanuel Okwi, Meddie Kagere na Cleotus Chama ni miongoni mwa wachezaji ambao sahihi zao zinawindwa na vilabu kadhaa ndani na nje ya Afrika

Okwi amekuwa akihusishwa na klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ambayo taarifa za uhakika ni kwamba imeshawasilisha ofa mezani kwa uongozi wa Simba ikitaka kumsajili

Hata hivyo kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amezuia usajili wa Okwi kuelekea nchini Afrika Kusini akieleza bado anamuhitaji mchezaji huyo

Kocha huyo raia wa Ubelgiji amesema kwa sasa asingependa kuwaona wachezaji hao muhimu wakiondoka kikosini.

Amesema ili kuweza kutimiza malengo yao katika michuano ya ligi ya mabingwa, ni muhimu kuwa na wachezaji hao.

Mbali na Okwi, uongozi wa Simba umezikataa ofa za Zamalek na AS Vital zilizokuwa zinamuwania Meddie Kagere.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’