Uongozi wa klabu ya Simba umeandaa utaratibu wa kusafirisha mashabiki kwenda Zambia kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Nkana Fc utakaopigwa Jumamosi ijayo, Disemba 15 Kitwe Zambia.
ADVERTISE HERE