Mchezo wa Simba dhidi ya KMC kupigwa Disemba 19

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Dec 2018
Mchezo wa Simba dhidi ya KMC kupigwa Disemba 19
Bodi ya Ligi ya Tanzania Bara (TPLB) imefanya mabadiliko ya michezo minne ya Ligi Kuu Tanzania Bara

Mchezo kati ya Yanga Sc dhidi ya Biashara United umesogezwa mbele kwa masaa matatu badala ya kupigwa kesho Jumapili saa 10:00 jioni sasa mchezo huo utapigwa saa 1:00 usiku siku hiyo hiyo

Mchezo wa kiporo kati ya Simba dhidi ya KMC sasa utapigwa Jumatano ya Disemba 19 katika uwanja wa Taifa Dar majira ya saa 12:00 Jioni

Pia mchezo namba 170 kati ya KMC na TZ Prisons uliotakiwa kupigwa Disemba 17 umerudishwa nyuma na sasa utachezwa Disemba 15 katika dimba la Uhuru

Vilevile mchezo kati ya Lipuli Fc dhidi ya Ruvu Shooting uliotakiwa kupigwa jana Disemba 7 sasa utapigwa keshokutwa Disemba 10 kati uwanja wa Samora Iringa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’