Matola awapongeza wachezaji Simba, awataka wasibweteke

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Dec 2018
Matola awapongeza wachezaji Simba, awataka wasibweteke
Kocha wa timu ya Lipuli, Seleman Matola amewatumia salamu za pongezi wachezaji wa Simba na kuwataka wasibweteke na matokeo waliyopata kwa kuwa wana kazi nzito kuhakikisha wanapenya hatua zote.

Matola ambaye aliwahi kuwa nahodha wa Simba, amesema kuwa wakati wa Simba kuweza kupenya kimataifa ni sasa wanapaswa kujituma zaidi kusonga mbele kwa kuwa kazi ndo kwanza inaanza.

"kwa hapo walipofikia si hatua mbaya wanapswa pongezi ila wasijisahau kuendelea kupambana wana safari ndefu kutafuta mafanikio, hapo walipofikia safari ndo inaanza kupeperusha bendera ya taifa," Matola amenukuliwa na mtandao wa SalehJembe

Simba imefuzu raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa ushindi wa jumla wa mabao 8-1 dhidi ya Mbabane Swallows.

Kwenye raudni hiyo itachuana na Nkana Fc kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi ya michuano hiyo mkikubwa zaidi kwa vilabu barani Afrika

Mchezo wa kwanza utapigwa Ijumaa ijayo Disemba 14 nchini Zambia na timu hizo kurudiana kwenye dimba la Taifa Disemba 21 2018
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’