Simba kuikabili Nkana Fc Ijumaa Dec 14

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Dec 2018
Simba kuikabili Nkana Fc Ijumaa Dec 14
Kulingana na ratiba ya raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika iliyotolewa na Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF), mchezo wa kwanza kati ya Simba dhidi ya Nkana Fc utapigwa Ijumaa Disemba 14 2018 na mchezo wa marudiano kupigwa wiki moja baadae, Disemba 21

Kulingana na ratiba hiyo Simba itaanzia ugenini Zambia na mchezo wa marudiano utapigwa nchini

Simba ilitua nchini jana Alhamisi kutoka Eswatini.

Uongozi wa timu hiyo umesema baada ya kurejea nchini unaanza maandalizi mara moja kuelekea mchezo huo ambao mshindi atatinga hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’