Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimeondoka eSwatini mapema leo kurejea nchini kupitia Afrika Kusini.
Simba inatarajiwa kuwasili mchana wa leo.
Wekundu hao wa Msimbazi wanarejea nchini wakiwa wamefanikisha hatua ya awali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa kuifumua Mbabane Swallows kwa jumla ya mabao 8-1
Wanarudi kujiandaa na mchezo wa raundi ya kwanza dhidi ya Nkana Fc ya Zambia

ADVERTISE HERE