Simba yaandaa mikakati ya kuimaliza Nkana Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Dec 2018
Simba yaandaa mikakati ya kuimaliza Nkana Fc
Tayari mpinzani wa klabu ya Simba kwenye mchezo wa raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa amefahamika jana ikiwa ni Nkana Fc kutoka nchini Zambia.

Nkana iliitoa UD Songo ya Msumbiji kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-1 na sasa itachuana na Simba, mchezo wa kwanza ukitarajiwa kupigwa nchini Zambia mwishoni mwa wiki ijayo

Mkurugenzi wa Simba Cresentus Magori amesema wameanza kuifuatilia timu hiyo ili kuhakikisha wanakamilisha lengo la kufuzu hatua ya makundi

Magori ambaye aliongozana na kikosi cha Simba eSwatini, amesema benchi la ufundi linaloongozwa na Patrick Aussems tayari limeanza kukusanya taarifa muhimu kuhusu klabu hiyo ambayo anacheza Hassani Kessy beki wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga

Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuwasili nchini leo kutoka eSwatini ambako kilifanikiwa kuifumua Mbabane Swallows mabao 4-0
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’