Simba kucheza na Nkana Fc raundi ya kwanza ligi ya mabingwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Dec 2018
Simba kucheza na Nkana Fc raundi ya kwanza ligi ya mabingwa
Nkana Fc ya Zambia imefuzu raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya kuilaza UD Songo ya Msumbiji kwa bao 1-0

Nkana imefuzu kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-1 kufuatia ushindi wa mabao 2-1 kwenye mchezo wa kwanza ugenini

Timu hiyo sasa itakutana na Simba kwenye mchezo wa raundi ya kwanza. Mchezo wa kwanza utapigwa baadae mwezi huu nchini Zambia na mchezo wa marudiano utakuwa jijini Dar es salaam

Mshindi wa mchezo huo atatinga hatua ya makundi wakati timu itakayofungwa itashushwa chini katika raundi ya pili ya kombe la Shirikisho
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
13h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
14h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
17h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’