Baada ya kushushiwa kipigo cha jumla cha mabao 8-1 na Simba, klabu ya Mbabane Swallows imewapongeza mabingwa hao wa Tanzania.
Klabu hiyo imesema imefungwa na timu bora na inaamini Simba itafika mbali kwenye michuano hiyo ya ligi ya mabingwa
Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo baada ya mchezo imesema wamekubali kipigo hicho cha kihistoria kwa klabu yao wakikiri kukutana na timu iliyowazidi kila kitu.
Simba imetinga raundi ya kwanza ya michuano hiyo ambapo katika raundi hiyo huenda ikakutana na Nkana Fc ya Zambia ambayo leo iko dimbani kurudiana na UD Songo ya Msumbiji
Nkana ilipata ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa ugenini nchini Msumbiji

ADVERTISE HERE