Clatous Chama kwa mara nyingine ametoa zawadi ya kipekee kwa mashabiki wa Simba baada ya kuisaidia timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 ugenini dhidi ya Mbabane Swallows
Chama alikuwa ni 'habari mbaya' kwa Mbabane Swallows kwenye mchezo huo baada ya kuifungia Simba mabao mawili katika dakika za 26 na 32
Kiungo huyo anayecheza soka la kuvutia pia alifunga bao la nne kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa jijini Dar es salaam wiki iliyopita
Chama aliwavuruga kabisa viungo wa Mbabane Swallows ambao walishindwa kumkaba wakati akitawala dimba kwa kushirikiana vyema na Jonas Mkude aliyekuwa katika kiwango bora sana leo
Katika mabao yote nane yaliyofungwa na Simba dhidi ya Mbabane Swallows, Chama amefunga mabao matatu.

ADVERTISE HERE