Kikosi cha Simba kilichokuwa kimeweka kambi mkoani Mwanza kinatarajiwa kuondoka siku ya Ijumaa kuelekea mkoani Shinyanga.
Simba inatarajiwa kupambana na Stand United siku ya Jumapili ijayo.
Afisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kikosi cha Simba kinakwenda Shinyanga kuchukua alama tatu na si vinginevyo.
"Tunakwenda Shinyanga kwa lengo la kupata pointi tatu muhimu tunajua tuko ugenini lakini tutapambana kuhakikisha tunapata ushindi,"alisema Manara.

ADVERTISE HERE