Kagere kuimaliza Mbabane Swallows kwao

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Dec 2018
Kagere kuimaliza Mbabane Swallows kwao
Mmoja wa vinara wa mabao katika kikosi cha Simba Meddie Kagere amesema wamepania kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Mbabane Swallows.

Mchezo huo utapigwa kesho Jumanne na unatarajiwa kuanza saa kumi na nusu jioni kwa saa za Tanzania

Mabingwa hao wa Tanzania Bara watashuka dimbani wakiwa tayari wako mbele kwa mabao 4-1 kufuatia ushindi waliopata jijini Dar es salaam wiki iliyopita

Kagere amesema lengo lao kuu ni kuhakikisha wanatinga raundi ya kwanza ya michuano hiyo na hivyo watahakikisha wanashinda kama ilivyokuwa kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Taifa

"Tupo tayari kwa ajili ya kupata matokeo tukiwa ugenini. Kama wao waliweza kupata bao moja nyumbani nasi pia tunaweza kwenda kushinda kwao inawezekana," amesema Kagere

"Hautakuwa mchezo mwepesi lakini tuna imani tutafanikiwa kupata matokeo. Tunawaomba mashabiki wetu watuombee na wazidi kutuunga mkono"
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
30m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’