Juuko arejea kikosini Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Dec 2018
Juuko arejea kikosini Simba
Beki kisiki wa Kimataifa Juuko Murshidi amerejea katika kikosi cha Simba baada ya kupona majeraha.

Juuko aliumia wakati akiitumikia timu ya Taifa ya Uganda ilipokwenda Nigeria kucheza mchezo wa kirafiki

Juuko alianza mazoezi jana jioni na mabingwa hao wa Tanzania Bara wanaojifua kwenye uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es salaam.

Mganda huyo alikosa mchezo dhidi ya Mbabane Swallows na huenda akajumuishwa kwenye kikosi cha Simba kinachotarajiwa kuondoka kesho kwenda Eswatini kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa dhidi ya Swallows
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’