Baada ya kusaini mkataba wa kuitumikia Simba mapema leo, Zana Coulibaly ameanza mazoezi na kikosi cha Simba jioni ya leo.
Coulibaly amejumuika na wachezaji wengine wa Simba kwa mara ya kwanza kwenye mazoezi hayo yanayofanyika uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es salaam.
Mlinzi huyo wa kulia ambaye pia anaweza kucheza nafasi ya ulinzi wa kati ya kiungo, amesajiliwa na Simba kuziba pengo la Shomari Kapombe anayetibiwa nchini Afrika Kusini baada ya kuvunjika mguu.

ADVERTISE HERE