Mwambeleko atua KCB

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Nov 2018
Mwambeleko atua KCB
Klabu ya KCB inayoshiriki ligi kuu ya Kenya imekamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa Simba Jamal Mwambeleko ambaye alisajiliwa na Singida United kwa mkopo

Mwambeleko ametambulishwa rasmi na klabu hiyo leo baada ya kukamilisha taratibu za usajili.



Mwambeleko alijiondoa katika klabu ya Singida United mwezi uliopita baada ya timu hiyo kushindwa kumlipa mshahara kwa zaidi ya miezi mitatu

Singida United imepoteza zaidi ya wachezaji watano mpaka sasa ambao wameondoka kutokana na kukosa mishahara kwa muda mrefu.

Matatizo hayo yameigutusha klabu ya Simba ambayo imesema haitakuwa tayari kuwapeleka wachezaji wake kwa mkopo kwenye timu ambazo hazitakuwa na uwezo wa kulipa mishahara yao.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’