Coulibaly kusaini mkataba wa miaka miwili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Nov 2018
Coulibaly kusaini mkataba wa miaka miwili
Mlinzi wa kulia Zana Coulibaly kutoka klabu ya Asec Mimosas ya Ivory Coast yuko nchini tangu jana kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Simba.

Beki huyo aliyeletwa na Simba kuziba pengo la Shomari Kapombe aliyeumia, anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili.

Coulibaly aliwasili jana jioni na moja kwa moja akaelekea uwanja wa Taifa kushuhudia mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Simba dhidi ya Mbabane Swallows

Beki huyo raia wa Ivory Coast amesema amekuja nchini kwa lengo moja tu la kufanya kazi na atahakikisha anaipa Simba mafanikio
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’