MO anautaka ubingwa wa Afrika

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Nov 2018
MO anautaka ubingwa wa Afrika
Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji 'MO' jana alikuwepo uwanja wa taifa kuishuhudia timu yake ikiwafumua Mbabane Swallows mabao 4-1 kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya awali na kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga raundi ya kwanza.

Baada ya mchezo huo MO aliwapongeza wachezaji wa Simba na kubainisha kuwa sasa safari ya kuusaka ubingwa wa Afrika imeanza rasmi.



"Hongereni Simba kwa ushindi! Kwa kweli wachezaji wetu wamejituma. Sasa tujipange kwa mchezo wa marudiano wiki ijayo. Lengo letu ni kuwa Mabingwa wa Afrika! Isha’Allah tutafanikiwa siku moja hivi karibuni," alisema MO

Mwishoni mwa msimu uliopita Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli aliipa Simba changamoto ya kuhakikisha inaboresha kikosi chake ili iweze kutwaa ubingwa wa Afrika

Changamoto hiyo imeonekana kufanyiwa kazi kwani Simba imeimarika zaidi baada ya ujio wa kocha Patrick Aussems huku pia ikiongeza wachezaji wenye uwezo mkubwa Cleotus Chama (CCC), Paschal Wawa na Meddie Kagere na sasa ikiwa mbioni kukamilisha usajili wa mlinzi wa kulia Zana Coulibaly
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’