Coulibaly atua, aishuhudia Simba ikiifumua Mbabane Swallows 4-1

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Nov 2018
Coulibaly atua, aishuhudia Simba ikiifumua Mbabane Swallows 4-1
Beki mpya wa kulia aliyesajiliwa na Simba kutoka klabu ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Zana Coulibaly amewasili nchini ili kukamilisha taratibu za usajili.

Coulibaly ametua mapema leo alikuwepo uwanja wa Taifa kuishuhudia timu yake hiyo mpya ikiondoka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mbabane Swallows kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya awali.

Coulibaly amesajiliwa kuziba pengo la Shomari Kapombe ambaye atakaa nje kwa muda mrefu baada ya kuumia wakati akiitumikia timu ya Taifa.

Kapombe yuko Afrika Kusini akiendelea na matibabu ambapo tayari ameshafanyiwa upasuaji wa mguu.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’