MO Dewji anogesha ushindi wa Simba Taifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Nov 2018
MO Dewji anogesha ushindi wa Simba Taifa
Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji 'MO' leo alikuwepo uwanja wa Taifa kuwaangalia vijana wake wakiiadhibu vikali Mbabane Swallows kwa mabao 4-1.




Siku ya leo ilikuwa ya kipekee kwa MO na Wana Msimbazi wote kwani kwake ilikuwa siku ya kwanza kuingia uwanjani tangu alipopata matatizo ya kutekwa na baadae kuachiwa huru na watu wasiojulikana mwezi uliopita.

Kadhalika, uwepo wake uwanja wa Taifa uliongeza morali kwa wachezaji lakini pia ukapandisha mzuka wa mashabiki ambao walikuwa wakishangilia bila ya kuchoka tangu dakika ya kwanza ya mchezo huo.

Ushindi mnono uliopatikana leo umeiweka Simba katika nafasi nzuri ya kusonga mbele kwenda raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa.

Simba inahitaji sare au isifungwe zaidi ya mabao matatu kwenye mchezo wa marudiano utakaopigwa wiki ijayo huko Eswatini
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’