Mbabane Swallows yawasili leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Nov 2018
Mbabane Swallows yawasili leo
Timu ya Mbabane Swallows imewasili usiku wa kuamkia leo tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya awali dhidi ya mabingwa wa Tanzania Simba utakaopigwa kesho Jumatano kwenye uwanja wa Taifa.

Timu hiyo ambayo imewasili saa saba na nusu usiku, imetua ikiwa na kocha wa zamani wa Mbeya City Kinnah Phiri ambaye ndiye kocha Mkuu wa timu hiyo kwa sasa.

"Timu yetu imewasili asubuhi ya leo, tulisafiri salama na tumefika salama na tumepokelewa vizuri, tunachosubiri ni mchezo wa kesho," Phiri amewaambia waandishi wa habari

"Tumejiandaa vizuri kila kitu kipo sawa. Mchezo wa kesho ni wa kwanza kati ya mechi mbili ambazo tutacheza, tumejiandaa vya kutosha kwa mchezo wa kesho."
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’