Okwi aongeza 'mzuka' kikosini Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Nov 2018
Okwi aongeza 'mzuka' kikosini Simba
Licha ya kuchelewa kujiunga na kambi ya Simba kutokana na kukabiliwa na majukumu ya timu ya Taifa, mshambuliaji hatari Emmanuel Okwi jana aliwasili nchini sambamba na beki Juuko Murshidi.

Baada ya kuwasili, moja kwa moja wachezaji hao walielekea kambini kujiunga na wachezaji wengine tayari kwa mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Mbabane Swallows kesho.

Okwi alishiriki mazoezi ya jana jioni ya kikosi cha Simba na uwepo wake uliongeza 'mzuka' kwa mashabiki waliojawa na furaha baada ya kumuona.

Kurejea kwake pia kumeimarisha utimamu wa safu ya ushambuliaji ya Simba ambayo sasa ina uhakika wa kuwavaa Mbabane Swallows ikiwa na majembe yake yote matatu Okwi, Kagere na Bocco.

Kocha Patrick Aussems amesema atamtumia Okwi kwenye mchezo wa kesho kwani katika mazoezi ya jana ameonyesha kuwa yuko 'fit'
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’