Mchezo wa awali wa ligi ya Mabingwa Afrika utakaochezwa Jumatano, kati ya wenyeji Simba dhidi ya Mbabane Swallow ya Swaziland utachezeshwa na mwamuzi kutoka Burundi, Pacifique Ndabihawenimana.
Mwamuzi huyo atasaidiwa na waamuzi wengine kutoka Burundi, Willy Habimana na Gustave Baguma pamoja na mwamuzi wa akiba Georges Gatogato.
Kamisaa wa mchezo huo ni Joseph Nkole kutoka Zambia.
Nayo Mtibwa Sugar inayoshuka dimba la Azam Complex kesho Jumanne kuikabili Northen Dynamo kwenye mchezo wa kwanza wa kombe la Shirikisho, mchezo huo utaamuliwa na mwamuzi kutoka nchini Zimbabwe, Pilan Ncube
Pilan atasaidiwa na wasaidizi wawili wote kutoka Zimbabwe ambao ni Edgar Rumeck na Tafadzwa Nkala.
Mwamuzi wa akiba naye ni Mzimbabwe, Nomore Murambiwa Musundire huku Mnyarwanda Gaspard Kayijuka akiwa Kamisaa.

ADVERTISE HERE