Kimenya ahusishwa kusajiliwa na Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Nov 2017
Kimenya ahusishwa kusajiliwa na Simba
Simba inasaka beki wa kulia baada ya kukosa uhakika wa huduma ya Shomari Kapombe ambaye hivi karibuni ameingia kwenye vita ya maneno na Mwenyekiti wa Kamati ya usajili Zacharia Hans Poppe.

Salum Kimenya ni beki wa kulia wa Prisons na kuna tetesi kuwa tayari viongozi wa Simba wameanza jitihada za kupata sahihi yake.

Kimenya amekuwa kwenye kiwango bora na bila shaka atakuwa chaguo sahihi kama Simba itaamua kuvunja mkataba wa Kapombe.

Hata hivyo mwenyewe Kimenya amegoma kuzungumzia tetesi hizo.

"Sijui chochote, hata mimi nasikia tu hizo habari. Yote ni mipango ya Mungu lakini sijui chochote," alisema Kimenya kwa kifupi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
56m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’