Uongozi wa Simba kesho Jumatatu utakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya klabu hiyo Msimbazi jijini Dar es salaam.
Mkutano huo unaotarajiwa kuanza saa sita mchana utakuwa mahsusi kwa ajili ya kubainisha maandalizi ya mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya Mbabane Swallows utakaopigwa Jumatano, Novemba 28 2018.

ADVERTISE HERE