Aussems asaka tiba ya ubutu wa safu ya ushambuliaji Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Nov 2018
Aussems asaka tiba ya ubutu wa safu ya ushambuliaji Simba
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema bado safu yake ya ushambuliaji ina mapungufu licha ya jitihada anazofanya kahakikisha timu inafunga mabao mengi

Akizungumza baada ya mchezo dhidi ya Lipuli Fc juzi, Aussems hakufurahishwa na mwenendo wa safu yake ya ushambuliaji iliyokosa mabao mengi ya wazi.

"Bocco na Kagere wote wamekuwa wakifanya vizuri sana mazoezini wakifunga mabao mengi, lakini wote wameshindwa kutumia nafasi dhidi ya Lipuli,

"Inawezekana kukosekana kwa Okwi (Emmanuel) nako ni tatizo au sio tatizo, sijajua tatizo ni Kagere (Meddie) au Bocco (John) lakini jambo hili litafanyiwa kazi mchezo wa Jumatano kwasababu tunataka ushindi” alisema Aussems.

Simba inahitaji kupata ushindi mnono Jumatano ili kujiwekea mazingira mazuri ya kufuzu raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’