Tarehe kama ya leo alizaliwa mshambuliaji Adam Salamba, mmoja wa wachezaji walioanza kuitumikia Simba msimu huu akisajiliwa kutoka Lipuli Fc.
Ingawa bado hajajihakikishia nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha kocha Patrick Aussems, Salamba amekuwa akifanya vizuri kila anapopewa nafasi.
Tunamtakia kila la kheri katika siku yake hii muhimu.
HAPPY BIRTHDAY ADAM SALAMBA

ADVERTISE HERE