Kocha wa zamani Mbeya City kuiongoza Mbabane Swallows dhidi ya Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Nov 2018
Kocha wa zamani Mbeya City kuiongoza Mbabane Swallows dhidi ya Simba
Kocha Mmalawi Kinnah Phiri amekabidhiwa kikosi cha Mbabane Swallows ya Eswatini ambayo inajiandaa na mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba.

Phiri aliyezaliwa Oktoba 30,1954, Blantyre,Malawi ametua Mbabane Swallows akichukua mikoba ya Kocha Thabo Vilakati aliyeondolewa kikosini hapo baada ya kumshambulia mwokota mipira uwanjani (ball boy).

Phiri ana uzoefu na soka la Afrika na zaidi Tanzania ambako aliwahi kukinoa kikosi cha Mbeya City cha jijini Mbeya akitokea Free State ya Afrika Kusini.

Mtihani wake wa kwanza utakuwa ni katika mchezo huo na Wekundu wa Msimbazi Klabu ya Simba utakaopigwa Jumatano hii Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na watarudiana kati ya Desemba 4-5,nchini Eswatini.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’