Baada ya mchuano mkali wa takribani miaka 2 kwa mataifa mbalimbali kusaka tiketi kwa ajili ya michuano ya kombe la dunia itakayofanyika nchini Urusi Juni 2018, mataifa 32 yaliyofuzu kwa michuano hiyo yameshapatikana.
Barani Afrika nchi za Nigeria, Morocco, Tunisia, Senagal na Misri zimefuzu kuliwakilisha bara hili.
Misri imefuzu kwa michuano hiyo kwa mara ya kwanza baada ya miaka 27.
Barani Ulaya nchini za Italia na Uholanzi zitakosa michuano hiyo kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi.
Orodha kamili

ADVERTISE HERE