Simba yajifua tayari kuikabili Lipuli Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Nov 2018
Simba yajifua tayari kuikabili Lipuli Fc
Kikosi cha mabingwa wa Tanzania, Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Lipuli

Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Taifa kuanzia saa 10:00 jioni.



Simba imejifua ikiwa na kikosi chake kamili ambapo mazoezi hayo yalisimamiwa na Kocha Patrick Aussems.

Simba inahitaji kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo ili kurudi kwenye nafasi ya pili ambayo inashikiliwa kwa muda ya Yanga iliyofanikiwa kuifunga Mwadui Fc kwa mabao 2-1 mkoani Shinyanga leo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’