Manara awaita mashabiki uwanja wa Taifa kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Nov 2018
Manara awaita mashabiki uwanja wa Taifa kesho
Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wajitokeze kwa wingi kwenye uwanja wa Taifa kesho Ijumaa katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Simba dhidi ya Lipuli Fc.

Manara amesema sapoti ya mashabiki wengi itaongeza 'mzuka' kwa wachezaji kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuanza saa kumi jioni.

Akiizungumzia Lipuli Fc, Manara amesema timu hiyo iliwasumbua msimu uliopita kwani ilifanikiwa kupata sare kwenye michezo yote miwili lakini mambo hayatakuwa hivyo msimu huu.

"Tunawajua Lipuli vzuri na tunafahamu ndio timu pekee iliyopata sare pacha katika msimu uliokwisha wa ligi"

"Lakini Simba ndio bingwa wa Taifa hili ndio Wafalme wa Nchi na Nyika zake ikiwemo nyika ya Sultani Mkwawa hadi Ruaha," ametamba Manara

"Tunaingia kesho tukiwa kamili,Full Gado with full Swing!!
Njoo Taifa kesho saa kumi uone football Raha na Football Magoli toka kwa Le Professor Aussems


"Mipasi na miudambwi dambwi ya mchanganyiko wa kisouth America na kibelige toka kwa kocha mwenye akili zake , Wanasimba na wale wote mpendao football Raha usikose kesho kuja kuona kababu ya nyama ya juju!"
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’