Siku ya Ijumaa Novemba 23, 2018 mabingwa watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara Simba watashuka dimbani kucheza mchezo wa ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Lipuli.
Mchezo huo utachezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 10:00 jioni.
Viingilio vya mchezo huo;
VIP A - 15,000/-
VIP B na C - 10,000/-
Mzunguuko - 5,000/-
Simba imeendelea kujifua kwenye uwanja wa Boko Veterans kujiandaa na mchezo huo wa kwanza baada ya kumalizika kwa michezo ya timu za Taifa

ADVERTISE HERE