Mshambuliaji wa Simba Paschal Athanas ambaye alitolewa kwa mkopo klabu ya Singida United, amepelekwa klabu yake ya zamani, Stand United.
Athanas ameshindwa kupata namba kwenye kikosi cha Singida United kinachonolewa na Hans van Pluijm hivyo kuipelekea timu hiyo kuomba imtoe kwa mkopo kwenda Stand United.
Uongozi wa Simba umeridhia mchezaji huyo kupelekwa kwa mkopo Stand United.

Dirisha dogo la usajili limefunguliwa jana Novemba 15 na linatarajiwa kufungwa Disemba 15.

ADVERTISE HERE