MO Ibrahim aahidi makubwa msimu huu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Nov 2018
MO Ibrahim aahidi makubwa msimu huu
Kiungo wa Simba, Ibrahim Mohamed 'Mo Ibrahim' ameanza kurejea kwenye makali yake baada ya kupata nafasi mbele ya kocha Patrick Aussems kitu anachokiamini kitampa hatua kubwa.

Katika msimu wa 2017/18 Mo Ibrahim, kiwango chake kilionekana kuyumba baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Pierre Lachantre kukiri mchezaji huyo hana nidhamu ya kazi inayofanya ashindwe kumwamini kwenye kikosi chake cha kwanza.

Mo Ibrahim amezungumzia nafasi anayoipata kama inamrudisha kwenye mstari wa ndoto zake , akiamini ana uwezo isipokuwa anahitaji kuongeza bidii.

"Mchezaji akiwa fundi ni fundi tu, mengine yanakuja kwa wakati, natambua kwamba kujituma na bidii ni kazi yangu, hivyo naamini kufanya kitu cha kitofauti kwenye msimu wa 2018/19,"anasema.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’