Waliokuwa timu za Taifa warejea kikosini Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Nov 2018
Waliokuwa timu za Taifa warejea kikosini Simba
Wachezaji wa Simba waliokuwa na majukumu kwenye timu za Taifa wamerejea kikosini kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu ya dhidi ya Lipuli Fc utakaopigwa uwanja wa Taifa keshokutwa Ijumaa.

Simba ilitoa wachezaji 10 kwa timu za Taifa za wakubwa na wachezaji wawili kwa timu ya Taifa ya vijana U23.

Aishi Manula, Jonas Mkude, John Bocco, Shiza Kichuya na Erasto Nyoni walirejea juzi kutoka Lesotho na kikosi cha Stars kilichokubali kichapo cha bao 1-0.

Wachezaji wa Kimataifa waliokuwa na majukumu kwenye timu za Taifa ni pamoja na Emmanuel Okwi, Juuko Murshidi, Cleotus Chama na Meddie Kagere.

Baada ya mchezo dhidi ya Lipuli Ijumaa, Simba itaendelea na maandalizi kwa ajili ya mchezo wa awali wa ligi ya mabingwa dhidi ya Mbabane Swallows utakaopigwa Jumatano ijayo dimba la Taifa
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
44m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’