Kerr apata timu ya ligi kuu Afrika Kusini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Nov 2018
Kerr apata timu ya ligi kuu Afrika Kusini
Aliyekuwa Kocha wa Gor Mahia FC ya Kenya, Dylan Kerr (51), ametangazwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Black Leopards inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini kuchukua mikoba ya Joel Masutha ambaye alikuwa akiinoa timu hiyo.

Kerr ambaye aliwahi kuifundisha Simba Sc ya jijini Dar es salaam msimu wa 2015–2016, kabla ya kutimkia Gor Mahia, amemalizana na klabu hiyo ambayo inashiriki ligi ya nchini humo

Kocha huyo Raia wa Uingereza alieleza kuachana na Gor Mahia kutokana na kupata dili hilo baada ya kuelewana na mabosi wake kisha kuelekea zake Afrika Kusini.

Muingereza huyo atatambulishwa rasmi siku yoyote kuanzia leo ndani ya klabu hiyo iliyo nafasi ya 14 kwenye msimamo wa ligi huku ikiwa imecheza mechi 11.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’